Tembo avunja dirisha la gari lenye watu na kuingia kutafuta chakula

  • | BBC Swahili
    2,092 views
    "Alianza kunusa, kuzunguka miguu yetu akitafuta chakula na dereva akatuambia tumpe chochote tulichokuwa nacho kwa hiyo nikamlisha sandwichi iliyobaki ya mwanangu." Tazama namna familia hii ilivyoachwa na mshangao baada ya tembo kushambulia gari lao na kuvunja dirisha akitafuta chakula, walipokuwa likizoni nchini Sri Lanka. Video inaonyesha mnyama huyo akitoka kwenye miti katika Hifadhi ya Kitaifa ya Yala, kabla ya kukimbia ghafla kuelekea alipokuwa Kasun Basnayake na familia yake kwenye gari walilokuwa wamekodisha. #bbcswahili #srilanka #hifadhi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw