Tetemeko la ardhi | Kenya yaahidi msaada wa chakula na dawa

  • | KBC Video
    66 views

    Hali inasalia ya kusikitisha nchini Uturuki kufuatia tetemeko la ardhi la kiwango cha 7.8 kwenye vipimo vya Richa kukumba eneo la kusini mashariki ya taifa hilo na nchini Syria ambapo watu zaidi ya elfu-5 wameripotiwa kuangamia.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #mtetemekowaardhi #News #uturuki