Tetesi tano zilizogonga vichwa vya habari wiki hii

  • | BBC Swahili
    1,234 views
    Wakati dirisha la usajili likiwa wazi, wachezaji na timu mbalimbali kote duniani wanafanya usajili ili kujiimarisha kwa ajili ya msimu ujao. David Nkya amekukusanyia tetesi tano zilizogonga vichwa vya habari wiki hii #bbcswahili #soka #kandanda Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw