Timu 25 za Kajiado Magharibi zapokea vifaa vya michezo

  • | Citizen TV
    408 views

    Timu 25 za mchezo wa soka kutoka Kajiado Magharibi zimepokea vifaa mbali mbali vya michezo vikiwemo sare na mipira kutoka kwa afisi ya ustawi wa eneo bunge hilo kwa lengo la kuimarisha mchezo huo mashinani.