Timu ya Hillside FC ilihusika katika ajali ya barabarani Kaunti ya Turkana Kusini

  • | TV 47
    14 views

    Timu ya Hillside FC ilihusika katika ajali ya barabarani.

    Timu ya Hillside inashiriki katika daraja ya kwanza ya Zone B.

    Hillside FC imetoka eneo la Kasuroi, kaunti ndogo ya Turkana Kusini.

    Wachezaji hao wanapokea matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Lodwar.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __