Timu ya Kenya ya kina Dada ilimaliza katika nafasi ya pili kwenye Voliboli ya kuketi ya Bara Afrika

  • | TV 47
    24 views

    Misri ilinyakua taji la Voliboli ya kuketi ya Bara Afrika.

    Misri iliitandika Rwanda seti 3-0 (25-21, 25-13, 25-20).

    Algeria ilitinga nafasi ya tatu baada ya kuilaza Morocco 3-0.

    Rwanda iliibuka mabingwa wa kitengo cha kina dada.

    Timu ya Kenya ya kina Dada ilimaliza katika nafasi ya pili.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __