Timu ya Kericho yaongoza kundi 'A' katika mashindano ya kitaifa ya kombe la Talanta Hela

  • | Citizen TV
    455 views

    Timu ya Kericho imeanza vyema mashindano ya kitaifa ya kombe la kandanda la Talanta Hela baada ya kuitandika Garissa kwa mabao 4-0 kwenye mechi ya pili ya kundi 'A' katika uwanja wa kitaifa wa Nyayo.