Timu ya soka ya wanawake chini ya miaka 17 kumenyana na Uganda Jumamosi

  • | Citizen TV
    168 views

    Kocha wa timu ya taifa ya wanawake ya chini ya umri wa miaka 17 nchini Uganda Sheryl Botes ana wasiwasi na makali ambayo timu ya Kenya inamiliki wakati timu hizo mbili zikipambana kesho nchini Uganda katika mechi ya kufuzu kombe la dunia . Uganda iliitoa Namibia kwa bao 18-1 kwa jumla, lakini kocha huyo anasema hata kwa uzoefu wake, lazima wawe waangalifu na kikosi imara cha Kenya.