Timu ya taifa ya Junior Starlets itapiga kambi barani Ulaya kwa wiki tatu

  • | Citizen TV
    406 views

    Timu ya taifa ya wanawake chini ya umri wa miaka 17 itapiga kambi barani Ulaya kwa wiki tatu kabla ya kombe la dunia la wanawake chini ya umri wa miaka 17 katika Jamhuri ya Dominika baadaye mwaka huu.