- 39 viewsTimu ya taifa ya ndondi, hit squad, imejikatia nafasi nane katika fainali za mashindano ya ngumi ya afrika, baada ya kufanya vizuri siku ya tano kwenye uwanja wa ndani wa kasarani. Veronica mbithe, rosem arion achieng na kelvin maina wamefuzu baada ya kushinda nusu fainali.