Timu ya taifa ya raga ilibwagwa 21 - 12 na Burkina Faso

  • | NTV Video
    150 views

    Timu ya taifa ya raga ya vijana Morans ilimaliza katika nafasi ya sita kwenye michuano ya Rugby Africa Sevens 2024 nchini Mauritius baada ya kulazwa 21-12 na Burkina Faso.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya