Timu ya taifa ya soka ya Kenya Harammbee Stars kupimana na Zimbabwe kwenye fainali

  • | Citizen TV
    832 views

    Timu ya taifa ya soka ya Kenya Harammbee Stars itashuka kwenye dimba jioni ya leo kuikabili zimbabwe kwenye fainali ya mchuano wa mataifa manne nchini Malawi.