Skip to main content
Skip to main content

Timu ya taifa ya taekwondo ya wachezaji wasiozidi umri wa miaka 21 iko tayari

  • | Citizen TV
    156 views
    Duration: 1:13
    Timu ya taifa ya taekwondo ya wachezaji wasiozidi umri wa miaka 21 iko jijini Kampala Uganda iko tayari kushiriki mashindano ya kuwania kombe la balozi wa korea kusini awamu ya uganda tarehe 8 na 9 mwezi huu wa novemba.