Timu za kenya kuwania tiketi ya Kombe La Dunia kwenye mpira wa magongo

  • | Citizen TV
    191 views

    Timu za taifa za mchezo wa magongo kwa wachezaji watano kila upande zimekamilisha maandalizi kwa ajili ya mechi za kuwania kufuzu kwa kombe la dunia zitakazoandaliwa nchini misri.