Skip to main content
Skip to main content

Timu za kombe la Dunia zaanza Kuwasili

  • | BBC Swahili
    4,852 views
    Duration: 1:39
    Timu mbalimbali zinazoshiriki Kombe la Dunia la FIFA 2026 zimeanza kuwasili katika miji tofauti ya Marekani, Mexico na Kanada kwa maandalizi ya mashindano yatakayoanza tarehe 11 Juni. @ahmedbahajjanaangazia baadhi tu ya zilizowasili wakiwa wakiwa katika mitindo mbalimbali ya mavazi. 🎥: @bosha_nyanje #bbcswahili #WC2026 #kombeladunia2026 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw