Tina Lewis: 'Nimeuza kila kitu ili niwatunze paka wangu'

  • | BBC Swahili
    465 views
    Familia moja kutoka Yorkshire, Uingereza ilikaribisha paka zaidi ya 100 nyumbani kwao katika mwaka uliopita. Tina Lewis na familia yake walianza kukusanya paka hao wakati wa janga la corona na iliwalazimu kuuza baadhi ya vitu vyao kama gari, pete za ndoa ili kuwasaidia katika kutunza paka hao. #bbcswahili #uingereza #wanyama