Tishio la ebola | Kenya yaimarisha chunguzi mpakani

  • | KBC Video
    28 views

    Kaimu mkurugenzi wa kituo cha kukabiliana na magonjwa ambukizi barani afrika Dr. Ahmed Ogwell amesema usalama wa kiafya barani afrika bado ni hafifu huku bara hili lilikabiliana na maambukizi ya maradhi tofauti. Aliongeza kuwa kituo hicho kinashirikiana kwa karibu na maafisa wa Uganda kukabili msambao wa ugonjwa wa Ebola.Tayari wizara ya afya kwa ushirikiano na kaunti ya Busia,imeimarisha uchunguzi wa wasafiri na madereva wa malori kati ya Kenya na Uganda.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #ebola #News #afya