Tishio la vikwazo vya Marekani dhidi ya Urusi. Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    721 views
    Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kuwa taifa lake litaiwekea Urusi ushuru mkali sana ikiwa makubaliano ya kumaliza vita nchini Ukraine hayataafikiwa ndani ya siku 50.