Titanic ya Afrika: Mkasa mbaya zaidi wa feri ulioikumba Senegal miongo miwili iliyopita.

  • | BBC Swahili
    985 views
    Ni karibu miaka 20 tangu Le Joola, feri inayofanya kazi nchini Senegal kati ya mji wa Kusini wa Ziguinchor na mji mkuu Dakar kupinduka katika dhoruba. Watu 1,863 kwenye meli walifariki, huku 64 walinusurika. Ni maafa ya pili mabaya zaidi ya baharini katika historia ya ulimwengu. Huku lawama zikiwekwa mabegani mwa nahodha kwa kuwezesha msongamano wa watu, mkasa huu umegubikwa na usiri na unyeti wa kisiasa. Kwa maadhimisho ya miaka 20, tutamaliza ukimya. #bbcswahili #ajali #senegal #afrika #titanic