Titus Mwangi na Kitto James washinda Naromoru kwenye mashindano ya baiskeli

  • | Citizen TV
    353 views

    Titus Mwangi na Kitto James wamenyakua ubingwa wa mashindano ya uendeshaji baiskeli ya Naromoru yaliyokamilika hii leo.