- 20,108 viewsDuration: 1:54Mvutano kati ya Marekani na Iran umeongezeka tena, baada ya pande hizo mbili kurushiana mashambulizi ndani ya saa 24 zilizopita. Tukio hili linatajwa kuwa mtihani mkubwa zaidi kwa sitisho la mapigano lililodumu kwa mwezi mmoja. @mariammjahid anaelezea #bbcswahili #Hormuz #hormuz Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw