Toilets feature in Taita-Taveta

  • | K24 Video
    Wenyeji wa kijiji cha Mwambiti katika eneo bunge la Voi wamekuwa wakienda haja porini miaka nenda miaka rudi. Shinikizo la maafisa wa afya wa nyanjani la kuwarai wenyeji kuchimba vyoo limekuwa likiangukia sikio la kufa. Wenyeji wamekuwa wakijitia hamnazo bila kuelewa hatari ya kuzuka kwa maradhi yanayotokana na uchafu.