Tongaren: Ng'ombe mja mzito auawa na ndama kutolewa tumboni

  • | NTV Video
    490 views

    Wakazi wa kijiji cha Rural-Mukuyuni, eneo bunge la Tongaren, Kaunti ya Bungoma wameamkia tukio la kushangaza, ambapo watu wasiojulikana walimuiba ng'ombe aliyekuwa mja mzito wa mkazi mmoja na kumkatakata kisha kumtoa ndama tumboni. Baadaye walitoweka na kichwa cha ng'ombe huyo pamoja na mguu mmoja wa nyuma na mbele.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya