TRA imeanzisha uchunguzi wa wahudumu wanaoendeleza shughuli haramu

  • | Citizen TV
    192 views

    Mamlaka ya kusimamia shughuli za utalii (TRA) imeanzisha msako wa wanaoendeleza shughuli haramu za utalii katika lango la Sekenani, kwenye mbuga ya wanyama ya Maasai Mara.