Treni yatembea zaidi ya kilomita 70 bila dereva ndani.

  • | BBC Swahili
    2,708 views
    Mamlaka nchini India zimeagiza kufanyike uchunguzi dhidi ya Treni ya mizigo iliyopita vituo vitano kwa kasi bila dereva. Treni hiyo ya mizigo, iliyokuwa imebeba vipande vya mawe, ilianza kushuka kwenye mteremko kwenye njia za reli huku dereva na msaidizi wake wakiwa hawajapanda, maafisa walisema. Maafisa wanasema Treni hiyo ilianza kutembea baada ya dereva na msaidizi wake kushuka ili kubadilishana zamu. #bbcswahili #India #Treni Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw