Trump aanzisha rasmi sera ya jinsia mbili; kiongozi wa kanisa amuomba awe na huruma
Rais Donald Trump ameanza utawala wake mpya wiki hii kwa kusaini mamia ya amri za kiutendaji kwa masuala mbali mbali kuanzia nishati hadi uhamiaji.
Baadhi ya amri zake ni pamoja na kufuta programu za mchanganyiko, uwiano na ushiriki na kutangaza kuwa serikali ya Marekani itatambua jinsia mbili tu – mwanamme na mwanamke.
“Kuanzia hivi leo, na kuendelea itakuwa ni sera rasmi ya serikali ya Marekani kuwa kuna jinsia mbili tu, mwanamme na mwanamke,” Trump alisema katika hotuba yake baada ya kuapishwa siku ya Jumatatu.
Siku moja baada ya kutangaza kuwa kutakuwa na jinsia mbili tu nchini Marekani na kusaini amri za kiutendaji ili kuwakamata wahamiaji haramu, Mchungaji wa Kanisa la Episcopal Mariann Edgar Budde alimrai Trump kuonyesha huruma kwa watu ambao walikuwa na hofu ya “kile” kitakacho tokea.
#trump #amriyakiutendaji #jinsia #reels #voa #voaswahili
30 Apr 2025
- The lawmaker was gunned down within Nairobi city.
30 Apr 2025
- Kenya has been facing increased cases of suicide.
30 Apr 2025
- He joins the long list of Raila's allies that have benefitted in the broad-based govt.
1 May 2025
- Ukraine expects to sign a much-anticipated minerals deal with the United States in "the next 24 hours", Prime Minister Denys Shmygal said Wednesday, as both sides finalised details.
1 May 2025
- Israeli Defence Minister Israel Katz ordered troops to deploy on Wednesday to support firefighters battling rapidly spreading wildfires near Jerusalem, calling the situation a "national emergency".
1 May 2025
- US President Donald Trump said Wednesday he was considering legal action against the New York Times, in his latest attack on a major media outlet.
1 May 2025
- The government is revving up revenue collection efforts with increased pursuit of businesses and the creative economy to meet its tax targets. It has warned that a significant number of companies in the country risk losing their registration permits,…
1 May 2025
- How workers are coping with widening wage, costs gap
1 May 2025
- Taking advantage of Labor Day to boost employee morale, organisational brand
1 May 2025
- VC with nine lives as Prof Paul Wainaina returns to KU
1 May 2025
- Workers suffer as Atwoli 'too young' to retire at 75
1 May 2025
- Intrigues on Gachagua's party and fate of allied MPs
1 May 2025
- Atwoli: A political wheeler-dealer disguised as the workers' defender