- 33,817 viewsDuration: 28:10Rais wa Marekani Donald Trump amesema ameongeza muda wa tishio lake la kuanza tena kushambulia mitambo ya nishati ya Iran kwa siku 10 zaidi ili kutoa nafasi ya makubaliano. Hata hivyo, waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Johann Wadephul alisema maandalizi yanafanywa kwa mazungumzo ya moja kwa moja kati ya Marekani na Iran nchini Pakistan. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw