TRUMP AITAKA UN IIWAJIBISHE CHINA KUHUSU MLIPUKO WA COVID-19

  • | VOA Swahili
    Katibu mkuu wa umoja wa mataifa Antonio Guterres ametoa wito kwa viongozi wa dunia kuzuia vita baridi kati ya Marekani na China na kusitisha vita vyote duniani ili kukabiliana kikamilfu na janga la Covid 19. Akifungua mkutano wa baraza kuu la umoja wa mataifa hii leo ambao kwa mara ya kwanza unafanyika kupitia mtandao rais Guterres amesema ni lazima kufanya kila kitu kuzuia kuzuka kwa vita vingine vya baridi. Abdushakur Aboud na ripoti kamili #VOA #VOASWAHILI