- 622 views“Alikuwa ni malkia wa mpakani. Mara ghafla anasema yeye siyo tena malkia wa mpakani,” alisema. “Kamwe hakujawahi kuwa na mpaka kokote duniani ambao unafurika watu kama mpaka huu.” Harris alipewa jukumu mwezi Machi 2021 kukabiliana na “kiini” cha wahamiaji kutoka Guatemala, Honduras na El Salvador – Amerika ya Kati inayoitwa “Northern Triangle” – lakini haikupewa jina la “border czar” au kupewa jukumu la ulinzi wa mpaka. Kwenye barabara chafu chini ya vilima vyenye vichaka vya Arizona, Donald Trump alitumia ukuta na rundo la vyuma kulinganisha jinsi yeye alivyoudhibiti mpaka huo na hatua za mpinzani wake Mdemokrat, Makamu wa Rais Kamala Harris. Trump aliwaleta wanawake wenye huzuni, mkuu wa polisi wa Kaunti ya Cochise na mkuu wa umoja wa Doria ya Mpakani kupeleka ujumbe wake mzito juu ya ulinzi wa mpaka katika ziara yake Alhamisi, iliyopewa kauli mbiu “Make America Safe Again” (Ifanye Marekani Iwe Salama Tena.) Kabla ya matamshi yake, Trump alianza kwa kukosoa rekodi ya Harris kuhusu uhamiaji na usalama wa mpakani, akimuita “makamu wa rais ovyo” alipokuwa anazunguka na kuzungumza na wakazi wa eneo karibu na uzio wa mpaka. -AP #uselection #harris #trump #voa
Trump akosoa Harris anavyo shughulikia usalama mpakani kati ya Marekani na Mexico
- 6 Aug 2025 - Busia Senator Okiya Omtatah has outlined a bold vision for Kenya should he clinch the presidency in the 2027 General Election.
- 6 Aug 2025 - Busia Senator Okiya Omtatah has launched a scathing attack against President William Ruto, questioning his integrity, and suitability to hold public office.
- 6 Aug 2025 - Firebrand Busia Senator and 2027 presidential hopeful Okiya Omtatah has declared his net worth to be in the range of Ksh.100 million to Ksh.200 million.
- 6 Aug 2025 - A section of Members of Parliament allied to the Kenya Kwanza administration have strongly rejected a report by the Kenya Human Rights Commission (KHRC) that called for the scrapping of the Hustler Fund.
- 6 Aug 2025 - A 14-year-old who was on the verge of being married off in Kajiado County was rescued, amidst rising concerns of early child marriages during the school holiday season.
- 6 Aug 2025 - Audit exposes Sh9.4b hole in e-Citizen, shows millions paid in illegal charges
- 6 Aug 2025 - Six Kenyans sue polls agency for blocking petitions to recall MPs
- 6 Aug 2025 - Raila's sudden opposition to NG-CDF after 20 years silence
- 6 Aug 2025 - The building collapse that sparked Tanzania's jobs ban
- 6 Aug 2025 - How firm's bid to turn waste into cash is paying off