Trump amshutumu Obama kwa Uhaini

  • | BBC Swahili
    52,084 views
    Rais Donald Trump aibua shutuma mpya na nzito dhidi ya Rais Mstaafu Barack Obama. Ofisi ya Obama yamjibu, ikisema hayana msingi wowote. #bbcswahili #mrekani #donaldtrump Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw