Trump apuuza hatua ya ufaransa kutambua Palestine

  • | BBC Swahili
    1,129 views
    Rais wa Marekani Donald Trump ametoa tamko kuhusu mazungumzo ya amani ambapo wapatanishi wa Israel na Marekani waliamua kujiondoa kwenye mazunguzo hayo huko Doha. Trump aidha amepuuzilia mbali tangazo la Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kwamba taifa lake litakuwa la kwanza kutoka kundi la G7 kuitambua Palestina kama taifa huru. Trump ameitaja taarifa ya Macron kama jambo ambalo halina uzito wowote.