- 19,431 viewsDuration: 28:10Rais wa Marekani Donald Trump amewasili nchini China kwa ziara ya siku mbili, ambapo atakutana na mwenyeji wake Rais Xi Jinping. Mazungumzo huenda yakazingatia sana Kusitisha vita na Iran, masuala kuhusu Taiwan, pamoja na mahusiano ya kibiashara. Hata hivyo kabla ya kuondoka Marekani,Trump alisema hatahitaji msaada wa China ili kukomesha vita na Iran. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw