TSC imetangaza kuwajiri walimu katika kipindi chote cha mwaka katika eneo la Kaskazini Mashariki

  • | KBC Video
    17 views

    Tume ya kuajiri walimu humu nchini imetangaza shughuli ya kuwajiri walimu katika kipindi chote cha mwaka katika eneo la Kaskazini Mashariki kufuatia kuhama kwa walimu wengi mwezi jana katika kaunti za Mandera, Wajir, na Garissa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News