Skip to main content
Skip to main content

TSC yashauriwa kutafuta maoni ya wanataaluma mbalimbali

  • | Citizen TV
    112 views
    Duration: 2:57
    Huku mtaala wa CBE ukitarajiwa kuingia katika gredi ya kumi mwaka ujao, ambapo wanafunzi watahitajika kuchagua mkondo wa masomo maalum, changamoto imetolewa kwa tume ya kuwajiri walimu nchini TSC na wizara ya elimu kutoa nafasi kwa wataalam mbalimbali ambao si waalimu kusaidia kupiga jeki mtaala huo.