- 17,920 viewsDuration: 2:08Katika video iliyosambaa sana mtandaoni, mwanaume mmoja kutoka Odisha alionekana akibeba mabaki ya mifupa ya dada yake hadi katika benki moja kijijini India ili kuthibitisha kuwa dada huyo amefariki, baada ya kushindwa kutoa akiba yake benki. Tukio hilo lilizua hisia na maoni mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii. Je ni nini hasa kilitokea? Mwandishi wa BBC @frankmavura anasimulia zaidi. #bbcswahili #Uchumi #Benki Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw