Tukio la ashiki Kisii | Walimu saba wakamatwa

  • | KBC Video
    61 views

    Walimu saba wa shule ya msingi waliokamatwa kwa kuwadhulumu wanafunzi wataendelea kuzuiliwa hadi siku ya Ijumaa ambapo mahakama ya Kisii itatoa uamuzi iwapo wataendelea kuzuiliwa huku uchunguzi ukiendelea. Walimu hao ambao walikamatwa baada ya video ya tendo hilo kusambazwa mtandaoni tayari wamesimamishwa kazi na tume ya kujairi walimu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #dhuluma #News #walimu #Kisii