Tukio lavutia watalii Maasai Mara huko Narok

  • | Citizen TV
    3,699 views

    Mamia ya maelfu ya nyumbu na pundamilia wameanza kuvuka mto Mara kutoka mbuga ya Serengeti nchini Tanzania hadi mbuga ya Kitaifa ya Maasai Mara nchini Kenya