'Tulikuwa sita, mtoto kila mmoja alirushwa kivyake kwenye lile tope'

  • | BBC Swahili
    1,479 views
    Ni siku kadhaa sasa baada ya mafuriko makubwa yaliyosababisha Vifo 76 na majeruhi kadhaa wilayani Hanag, kaskazini mwa Tanzania. Fanuel John anasimulia namna alivyopoteza familia ya watoto wanne na mke wake katika mafuriko hayo. #bbcswahili #tanzania #katesh Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw