Tulipe Ushuru, Tujitegemee I Kampeni ya hamasisho ya KRA na KBC yaendelea

  • | KBC Video
    5 views

    Awamu ya tatu ya kampeni ya uhamasishaji wa ulipaji ushuru inayotekelezwa na halmashauri ya ulipaji ushuru nchini KRA imekamilika huku kukitolewa miito ya walipaji ushuru kuepuka kujaza fomu za kuonesha uaminifu wao wa kulipa ushuru dakika za mwisho. Takriban walipaji ushuru milioni 3 wamejaza fomu zao, kabla ya makataa ya tarehe 30 mwezi Juni mwaka huu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive