Tume Mpya ya wananchi imebuniwa kuchunguza ukiukaji haki na mauaji

  • | Citizen TV
    775 views

    Aliyekuwa mwanasheria mkuu Justin Muturi ameapishwa kuwa mwenyekiti wa tume mpya ya haki ya wananchi. Tume hiyo, inayoungwa mkono na upinzani na familia za waathiriwa, itachunguza ukatili wa polisi, mauaji ya kiholela na utekaji wakati wa maandamano ya Gen z mwaka jana na mwaka huu, na kushinikiza wahusika kuchukuliwa hatua.