12 Mar 2026 10:30 am | Citizen TV 143 views Duration: 5:04 Tume ya maadili na kudhibiti usifadi EACC inafanya kikao na maafisa wakuu wa hazina ya NGCDF eneo la magharibi kutafuta suluhu ya miaya iliyoko ya usimamizi ambazo inachangia ufujaji wa fedha za umma.