Tume ya EACC inasema inawachunguza magavana 9

  • | Citizen TV
    60 views

    Tume ya Maadili na kupambana na ufisadi nchini sasa inasema inawachunguza magavana tisa kwa tuhuma za ufisadi.