Tume ya EACC yakamata maafisa 8 wakuu kaunti ya Tana River kwa tuhuma za ulaghai

  • | Citizen TV
    280 views

    Tume ya maadili na kupambana na ufisadi - EACC - imewakamata maafisa 8 wakuu kaunti ya Tana River akiwemo Afisa Mkuu wa kaunti hiyo.