Tume ya EACC yarejesha shilingi milioni 9.4 za umma

  • | Citizen TV
    966 views

    Tume ya maadili na kupambana na ufisadi inasema imerejesha shilingi milioni 9.4 kwa umma baada ya kushinda mojawapo ya kesi tisa kuhusiana na sakata ya ununuzi wa ardhi ya makaburi kaunti ya Nairobi.