Tume ya EACC yazindua kamati ya kukabiliana na ongezeko la visa vya ufisadi magatuzini

  • | KBC Video
    66 views

    Tume ya maadili na kupambana na ufisadi kwa ushirikiano na serikali za kaunti humu nchini imezindua kamati za kuzuia ufisadi ili kukabiliana na ongezeko la visa vya ufisadi magatuzini. Tume hiyo imetambua kaunti sita zitakazotumika kwenye awamu ya majaribio kabla kamati hizo hazijabuniwa katika kaunti nyingine.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #corruption #darubini

    corruption