Tume ya huduma kwa polisi yadai kuhangaishwa na Kanja

  • | Citizen TV
    916 views

    Tume ya huduma kwa polisi imeibua madai ya kuhangaishwa na idara ya polisi ikiongozwa na inspekta jenerali wa polisi Douglas Kanja. Afisa mkuu mtendaji wa tume hiyo Peter Lelei, akisema amenyimwa stakabadhi muhimu ya waajiriwa wa polisi