26 Sep 2025 10:24 am | Citizen TV 134 views Duration: 1:38 Miezi miwili baada ya rais William Ruto kuangazia umuhimu wa kufufua uchumi wa majini katika ziwa Viktoria, taifa limepigwa jeki baada ya kupokea ufadhili zaidi wa ujenzi wa makao ya tume ya ziwa Viktoria.