Tume ya KNCHR yataka IPOA ichunguze ukatili wa polisi nchini

  • | Citizen TV
    329 views

    Tume ya kitaifa ya haki za kibinadamu imeitaka Shirika la kutathmnini utendakazi wa polisi IPOA kuchunguza madai ya unyanyasaji dhidi waandamanaji na maafisa wa polisi wakati wa maandamano ya upinzani. Tume hiyo imeelezea wasiwasi wa kurejea kwa utekaji nyara na mauwaji ya kiholela yanatotekelezwa na maafisa wa polisi.