Tume ya kuajiri watumishi wa umma yaorodhesha majina ya watu 477

  • | KBC Video
    47 views

    Tume ya kuajiri watumishi wa umma imeorodhesha majina ya watu 477 wanaowania nyadhifa za makatibu wa wizara. Miongoni mnwa walioorodheshwa ni wabunge wa zamani, makatibu wa wizara wanaoondoka na wataalamu kadhaa ambao watasailiwa na tume hiyo kuanzia jumatano wiki ijayo. Gichuki Wachira na taarifa kamilio.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #KenyaElection2022 #News