Tume ya kupambana na ufisadi EACC yarejesha Ksh. 47M

  • | Citizen TV
    424 views

    Tume ya kupambana na ufisadi nchini EACC imerejesha shilingi milioni 47 zilizokuwa zimeibwa katika kaunti ya Homabay.